iqna

IQNA

Athari za Kijamii za Kufunga /1
IQNA – Wakati wa Mwezi Mtukufu Ramadhani, watu huwa wanakwenda misikitini mara kwa mara, kushiriki katika sala za jamaa, na hushikamana katika kufungua saumu.
Habari ID: 3480352    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/11

Athari za Kufunga kwa Afya ya Akili/3
IQNA – Wakati mtu anajizuia kula na kunywa wakati wa mchana, anakuwa anafanya mazoezi ya kujidhibiti.
Habari ID: 3480329    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08

IQNA – Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu ya taifa.
Habari ID: 3480302    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04

Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470369    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08